19/08/2026
CHAKULA BORA, MAZIWA ZAIDI!
Marenga Dairy Meal ni lishe bora kwa ng'ombe wa maziwa, iliyotengenezwa kusaidia ng'ombe wako kupata virutubisho muhimu kwa uzalishaji wenye tija. Ipo katika mfumo wa mash na pia pellets!
๐ Tunapatikana Kiboriloni, Moshi
๐ 0758828750 | 0743408350