J5gear Autoelectrics Garage

J5gear Autoelectrics Garage Car Diagnosis Specialist
Cars Maintenance
Mechanics, Electrics
Smart_keys & ECU Programming
DPF, EGR , ADBLUE

20/02/2026

CAR DIAGNOSIS SERVISES
K**a kuna taa yoyote inawaka kwenye dashboard ya gari yako au umekumbana na Moja ya dalili hizi karibu ofisini tukuhudumie...
⚠️Gari kukosa nguvu
⚠️Matumizi ya mafuta kuongezeka
⚠️ Misfires
⚠️Gari kushindwa au kuchelewa kuwaka
⚠️Gari kutoa Moshi kuliko kawaida..nk

Tuko mwanza nera
Pia Dar es salaam mwenge

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

10/02/2026

KARIBU SANA GARAGE KWETU
Je, wewe ni mmiliki wa gari unatafuta huduma bora
Za uhakika na kitaalamu?
👉 Usisite, karibu sana.!

📍 Tunapatikana:
✔️ Dar es Salaam – Mwenge
✔️ Mwanza – Nera

🛠️ Huduma zetu ni pamoja na:
✅ Kufanya service za magari
✅ Umeme wa magari
✅ Huduma ya diagnosis (computer check)
✅ Matengenezo ya gari kwa ujumla
✅ Key programming & mfumo wa keys

📞 Wasiliana nasi:
☎️ 0768 481 158
☎️ 0712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

02/02/2026

Mpendwa mteja ...!
⚠️Gari yako ina ulaji mkubwa wa mafuta ..?
⚠️Gari yako ina sh*tuka mara kwa mara..?
⚠️Gari yako inakosa nguvu ..?
⚠️Gari yako ina gonga kwenye miguu ..?
⚠️Gari yako ina missfire ..?

Ukiona hizi changamoto kwenye gari yako
Wasiliana nasi kwa huduma zetu

Tuko Mwanza nera pia
Tuko Dar es salaam mwenge

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

28/01/2026

Mpendwa mteja karibu leo
Upate huduma ya kubadilisha Engine Oil na Filter
Pamoja na matengenezo mengine
Ya gari yako kutoka kwa wataalamu wetu
Walio bobea na wenye uaminifu wa hali ya juu

Tunapatikana mwanza na Dar es salaam
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

25/01/2026

HUDUMA BORA ZA MAGARI
TUNA KUHUDUMIA KWA UHAKIKA 🔧🚗

Umechoka gari lako kuwaka taa za dash bila kujua tatizo..? Sisi ndiyo suluhisho lako 💪
📍 Mwanza – Nera
📍 Dar es Salaam – Mwenge

💥 Huduma zetu:
⚡ Umeme wa Magari (Electrical)
🖥️ Computer Diagnosis ya kisasa
🔧 Mechanical Problems (Injini, Gearbox, Suspension)
🔐 Programming Smart Key & Control Box
🚘 Magari ya European & Japanese
🎯 Kazi ya uhakika
🎯 Bei rafiki
🎯 Huduma ya haraka

📞 Piga sasa:
☎️ 0768 481 158
☎️ 0712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

21/01/2026

Subaru impreza engine overhaul
Tuko mwanza nera karibuni 🙏

20/01/2026
20/01/2026

Mpendwa mteja karibu leo
Upate huduma ya kubadilisha Engine Oil na Filter
Pamoja na matengenezo mengine
Ya gari yako kutoka kwa wataalamu wetu
Walio bobea na wenye uaminifu wa hali ya juu

Kwa matatizo yote ya umeme katika gari yako
K**a gari yako imewasha taa yoyote katika dashboard
Au ina dalili hizi:👇

⚠️Gari kukosa nguvu
⚠️Gari kuchelewa kubadili gear
⚠️Gari kuzimazima
⚠️Gari kuoverheat
⚠️Gari kua na missfire
⚠️Gari kutumia mafuta mengi zaidi ya kawaida
⚠️harufu kali ya mafuta wakati gari inatembea
⚠️Gari kushindwa kuwaka
⚠️Gari kutoa moshi mwingi na mzito
⚠️Gari kushindwa kuidle

Karibu ofisini kwetu tuikague kwa vifaa vya kisasa Kabisa na kuhakikisha inapata huduma bora
Naya uhakika.

Tuna patikana mwanza nera
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

Address

Mwanza Na Dar Es Salaam
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J5gear Autoelectrics Garage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to J5gear Autoelectrics Garage:

Shortcuts

Share