19/08/2026
π₯π₯ SIKU YA MWISHO YA MSIMU WA PILI WA MO FURSA MKONONI ILIKUA MOTO BALAAAAA!!! π₯π₯
Leo tumefunga msimu kwa kishindo! Watu wamejipatia ndondo za maana za mafunzo kutoka kwa wazungumzaji mahiri, lakini pia zawadi kemkem! ππ₯
Zaidi ya watu 30+ wameondoka na Gift Vouchers zenye thamani ya Tsh. 50,000, pamoja na Jackets, Reflectors, T-Shirts na MAFUTA BUREEE! β½π₯
Hakika, Msimu wa Pili wa MO Fursa Mkononi ulikua wa kipekee sana! Tunawashukuru kwa moyo wote kila mmoja aliyejitokeza na kuwa sehemu ya safari hii kwa siku zote hizi.
K**a kawaida yetu sisi MO, Tunagusa Maisha Yako β na msimu huu tumeshuhudia kwa vitendo jinsi tulivyoweza kugusa, kuhamasisha na kufungua fursa kwa maisha ya watu wengi sana!
MO β Tunagusa Maisha Yako!