Car and General Trading Ltd

Car and General Trading Ltd This is the official page for TVS Motorcycles in πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Sole Distributor: Car & General Tanzania Ltd

MKOPO CHAPCHAP WA TVS!Hii ni nafasi yako ya kipekee ya kujipatia mkopo wa pikipiki ya TVS. Fika kwenye Viwanja vya Mlima...
07/08/2026

MKOPO CHAPCHAP WA TVS!

Hii ni nafasi yako ya kipekee ya kujipatia mkopo wa pikipiki ya TVS. Fika kwenye Viwanja vya Mlimani City kwa maelezo, mahitaji na huduma ya mkopo.

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi, piga: 0750 011 700 | 0674 711 111



//

GET YOUR TVS LOAN CHAPCHAP!

This is your special opportunity to get a TVS motorcycle on loan. Visit us at Mlimani City Grounds to learn more about the requirements and access loan services.

πŸ“ž For more information, call: 0750 011 700 | 0674 711 111



Hata Spider-Man anatambua kuwa pikipiki yenye  nguvu, uimara na ubora ni TVS HLX tu! πŸ•·οΈ 🏍️πŸ’ͺ
06/08/2026

Hata Spider-Man anatambua kuwa pikipiki yenye nguvu, uimara na ubora ni TVS HLX tu! πŸ•·οΈ 🏍️πŸ’ͺ

05/08/2026

Kila safari ina hadithi yake, na kila mafanikio huanza na uamuzi sahihi.

Kutana na Afisa Usafirishaji Bw. Said Athuman Maige, akieleza jinsi gani maisha yake yamebadilika baada ya kumiliki pikipiki ya TVS HLX.

HLX DAY, PAMOJA TUNASONGA MBELE.

Mpango wa MUNGU ni wewe kumiliki pikipiki ya TVS HLX 125 au TVS HLX 150X. 🏍️Chukua hatua leo na umiliki pikipiki ya ndot...
04/08/2026

Mpango wa MUNGU ni wewe kumiliki pikipiki ya TVS HLX 125 au TVS HLX 150X. 🏍️

Chukua hatua leo na umiliki pikipiki ya ndoto zako.

πŸ“ Tembelea moja ya matawi yetu:

β€’ Posta Mpya, Mtaa wa Azikiwe – Dar es Salaam
β€’ Mtaa wa Uhindini – Iringa
β€’ Mtaa wa Jacaranda – Arusha
β€’ Mtaa wa Mji Mpya – Morogoro

//

God's plan is for you to own a TVS HLX 125 or TVS HLX 150X. 🏍️

Take the first step today and own the motorcycle you've always dreamed of.

πŸ“ Visit any of our branches:

β€’ Posta Mpya, Azikiwe Street – Dar es Salaam
β€’ Uhindini Street – Iringa
β€’ Jacaranda Street – Arusha
β€’ Mji Mpya Street – Morogoro

03/08/2026

Kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi, tupo tayari kuhakikisha unapata huduma bora.

πŸ“ Tembelea matawi yetu yaliyopo;

β€’ Posta Mpya, Mtaa wa Azikiwe – Dar es Salaam
β€’ Mtaa wa Uhindini – Iringa
β€’ Mtaa wa Jacaranda - Arusha
β€’ Mtaa wa Mji Mpya – Morogoro

Karibu sana!

Unatafuta chombo cha kazi, safari za kila siku au matumizi ya biashara?TVS HLX 125 na HLX 150X zote zimetengenezwa kwa u...
30/07/2026

Unatafuta chombo cha kazi, safari za kila siku au matumizi ya biashara?

TVS HLX 125 na HLX 150X zote zimetengenezwa kwa uimara, nguvu na matumizi bora ya mafuta. Chagua inayokukosha zaidi.

πŸ“² WhatsApp: 0674 711 111
πŸ“ž Simu: 0750 011 700

Tunawashukuru kwa kutuamini na kuendelea kuchagua pikipiki za TVS.Imani yenu kwetu ndiyo nguvu  inayotufanya tuendelee k...
29/07/2026

Tunawashukuru kwa kutuamini na kuendelea kuchagua pikipiki za TVS.

Imani yenu kwetu ndiyo nguvu inayotufanya tuendelee kuwapatia pikipiki imara na zenye ubora kwa biashara na safari za kila siku.

//

Thank you for trusting us and continuing to choose TVS motorcycles.

Your trust inspires us to keep delivering durable, high-quality motorcycles that are built for business and everyday journeys.

28/07/2026

πŸ”₯ Pikipiki ya kisasa zaidi. Pikipiki yenye Nguvu. Pikipiki inayotumiwa na wajanja wote mjini 🏍️

TVS HLX 125 Refresher imeundwa kwa wale wanaotaka pikipiki yenye nguvu zaidi, uimara zaidi na matumizi madogo ya mafuta. Ni chaguo sahihi kwa biashara na safari za kila siku.

πŸ“ž Tupigie leo: 0674 711 111 | 0750 011 700

πŸ“ Tembelea showroom yetu Posta Mpya, Mtaa wa Azikiwe, ujionee ubora unaowafanya wengi kuichagua TVS.



//

πŸ”₯ The Most Modern motorcycle. A Powerful Machine. The Smart Riders’ Choice in Town. 🏍️

The TVS HLX 125 Refresher is designed for those looking for a motorcycle with more power, greater durability, and excellent fuel efficiency. It is the perfect choice for business and everyday commuting.

πŸ“ž Call us today: 0674 711 111 | 0750 011 700

πŸ“ Visit our showroom at Posta Mpya, Azikiwe Street, and experience the quality and performance that make many riders choose TVS.

Mimi nikiona pikipiki ya TVS HLX mahali popote:β€œNgoja kwanza… hii lazima iwe yangu!” πŸ˜‚πŸοΈMuonekano wake unavutia, na safa...
27/07/2026

Mimi nikiona pikipiki ya TVS HLX mahali popote:
β€œNgoja kwanza… hii lazima iwe yangu!” πŸ˜‚πŸοΈ

Muonekano wake unavutia, na safari zake zinakufanya uitake zaidi.

πŸ“² WhatsApp: 0674 711 111
πŸ“ž Simu: 0750 011 700

Kupitia ushirikiano wa Car & General Trading Limited na TVS Tanzania, tuliwaunganisha zaidi ya waendesha TVS 3,000 katik...
26/07/2026

Kupitia ushirikiano wa Car & General Trading Limited na TVS Tanzania, tuliwaunganisha zaidi ya waendesha TVS 3,000 katika kambi maalum za kuangalia fainali hiyo.

Hadi sasa, tukio hili linaendelea kuwa gumzo miongoni mwa watu kutokana na upekee uliofanywa na timu ya C&G–TVS na namna walivyosherehekea pamoja k**a familia moja.

Shukrani za dhati kwa wote kutoka Morogoro, Iringa Town, Mafinga, Arusha, Masasi, Mwanza, Kyela, Makongolosi, Chunya, Songea na Sumbawanga kwa kujitokeza kwa wingi na kufanya tukio hili kuwa la kipekee.

WorldCup2026

Address

Azikiwe Maktaba Street
Dar Es Salaam
1552

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Car and General Trading Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Car and General Trading Ltd:

Shortcuts

Share