Aby genuine spare parts.

Aby genuine spare parts. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aby genuine spare parts., Motorbike dealership, Kariakoo, Dar es Salaam.

TUNAUZA ;
• SPARE ZA PIKIPIKI AINA ZOTE
•SPARE ZA GUTTA AINA ZOTE
• SPARE ZA BAJAJI AINA ZOTE
TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA

➡️TUNATUMA MIKOANI NA NCHI JIRANI KWA UAMINIFU MKUBWA
📍TUPO KARIAKOO
MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU
Contacts
📞 0750687621

TAARIFA KWA WATEJA WETU 📢Kumekuwa na mabadiliko mbalimbali yanayogusa sekta ya uagizaji wa bidhaa nchini. Tunawashirikis...
13/07/2026

TAARIFA KWA WATEJA WETU 📢

Kumekuwa na mabadiliko mbalimbali yanayogusa sekta ya uagizaji wa bidhaa nchini. Tunawashirikisha taarifa hii rasmi kutoka TPA ili wateja wetu na wadau wetu wapate uelewa wa baadhi ya mabadiliko yanayoendelea.

Tunaendelea kujitahidi kuhakikisha tunawapatia bidhaa bora kwa bei shindani kadri inavyowezekana.

Asanteni kwa kuendelea kutuamini. 🙏

Kutoka kushinda tuzo hadi Bungeni. 🇹🇿🏆Baada ya kushinda Tuzo ya Wauzaji Bora wa Spare za Gutta na Bajaji Tanzania nzima ...
12/07/2026

Kutoka kushinda tuzo hadi Bungeni. 🇹🇿🏆

Baada ya kushinda Tuzo ya Wauzaji Bora wa Spare za Gutta na Bajaji Tanzania nzima kwenye tuzo za Kariakoo Business Awards 2026 KARIAKOO BUSINESS FORUM , tulipata heshima ya kualikwa kuhudhuria Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kikao cha Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

Ushindi huu haukuwa mwisho wa safari, bali ulikuwa mwanzo wa fursa na hatua kubwa zaidi. Tunajivunia kuiwakilisha Kariakoo na sekta ya biashara katika jukwaa muhimu la kitaifa.

Asanteni kwa waandaaji wa Kariakoo Business Awards kwa kutupa nafasi hii ya kipekee, na zaidi ya yote tunawashukuru wateja wetu, washirika wetu, na kila aliyekuwa sehemu ya ushindi huu.

ABY GENUINE SPARE PARTS — Mabingwa wa Spare za Gutta na Bajaji Tanzania nzima. Safari inaendelea. 🇹🇿

11/07/2026

CLUTCH COVER YA HAOJUE XPRESS / PLUS🔥🔥🔥
Inapatikana kwetu kwa bei za jumla na rejareja✅✅
LAKINI PIA TUNAUZA SPARE ZA;
•spare za gutta aina zote
•pikipiki aina zote
•spare za bajaj aina zote

📞•0718687621

TUNATUMA MIZIGO YETU MIKOA YOTE YA TANZANIA NZIMA🇹🇿 NA NCHI JIRANI KWA UAMINIFU MKUBWA SANA..

📍TUNAPATIKANA KARIAKOO
MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU

WASILIANA NASI KWA NAMBA
📞•0718687621
📞•0718687621
📞•0718687621
VIP GENUINE SPARE PARTS
SPARE ZA HAOJUE TANZANIA

TYRE YA NYUMA YA BOXER ORIGINAL 🔥🔥🔥Inapatikana kwetu kwa bei za jumla na rejareja✅✅LAKINI PIA TUNAUZA SPARE ZA;•spare za...
11/07/2026

TYRE YA NYUMA YA BOXER ORIGINAL 🔥🔥🔥
Inapatikana kwetu kwa bei za jumla na rejareja✅✅
LAKINI PIA TUNAUZA SPARE ZA;
•spare za gutta aina zote
•pikipiki aina zote
•spare za bajaj aina zote

📞•0718687621

TUNATUMA MIZIGO YETU MIKOA YOTE YA TANZANIA NZIMA🇹🇿 NA NCHI JIRANI KWA UAMINIFU MKUBWA SANA..

📍TUNAPATIKANA KARIAKOO
MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU

WASILIANA NASI KWA NAMBA
📞•0718687621
📞•0718687621
📞•0718687621
VIP GENUINE SPARE PARTS
V I P GENUINE SPARE PARTS

MAGNETO COIL YA GUTTA SINORAY 300-W9🔥🔥🔥INAPATIKANA KWETU NA TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA✅✅LAKINI PIA TUNAUZA URE...
08/07/2026

MAGNETO COIL YA GUTTA SINORAY 300-W9🔥🔥🔥
INAPATIKANA KWETU NA TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA✅✅
LAKINI PIA TUNAUZA UREMBO ZA;
•PIKIPIKI AINA ZOTE
•ZA GUTTA AINA ZOTE
•ZA BAJAJI AINA ZOTE

📞•0718687621

TUNATUMA MIZIGO YETU MIKOA YOTE YA TANZANIA NZIMA🇹🇿 NA NCHI JIRANI KWA UAMINIFU MKUBWA SANA..

📍TUNAPATIKANA KARIAKOO
MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU

WASILIANA NASI KWA NAMBA
📞•0718687621
📞•0718687621
📞•0718687621
VIP GENUINE SPARE PARTS
GENUINE SPARE PARTS
Copyright ©2025 ABY GENUINE SPARE PARTS

PROPELLER COMPLETE YA SINORAY 200-Q6🔥🔥🔥INAPATIKANA KWETU NA TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA✅✅LAKINI PIA TUNAUZA URE...
06/07/2026

PROPELLER COMPLETE YA SINORAY 200-Q6🔥🔥🔥
INAPATIKANA KWETU NA TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA✅✅
LAKINI PIA TUNAUZA UREMBO ZA;
•PIKIPIKI AINA ZOTE
•ZA GUTTA AINA ZOTE
•ZA BAJAJI AINA ZOTE

📞•0718687621

TUNATUMA MIZIGO YETU MIKOA YOTE YA TANZANIA NZIMA🇹🇿 NA NCHI JIRANI KWA UAMINIFU MKUBWA SANA..

📍TUNAPATIKANA KARIAKOO
MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU

WASILIANA NASI KWA NAMBA
📞•0718687621
📞•0718687621
📞•0718687621
VIP GENUINE SPARE PARTS
GENUINE SPARE PARTS
Copyright ©2025 ABY GENUINE SPARE PARTS

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aby genuine spare parts. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aby genuine spare parts.:

Share