12/08/2026
Usalama wa mzigo wako si option. Na kujua mzigo wako uko wapi kila hatua ya safari, si luxury.
Otapp Cargo inakuwezesha kujua hatua za safari ya mzigo wako, ili utume ukiwa na amani na mpokeaji ajue mzigo wake uko salama njiani.
Tuma kwa Otapp Cargo. Tuma kwa uhakika na salama.