Tems Motors

Tems Motors WAUZAJI WA PIKIPIKI, SPARE PARTS, LUBRICANTS & POWER EQUIPMENT - DAR ES SALAAM - TANZANIA. TUNAPATIKANA 📍 DAR ES SALAAM 📍MOSHI 📍 MWANZA
Tupigie: 0749 480 912.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ritchie Jere-miah, Ibrahim Daudi, Elisha Mashauri, Ben Sa...
22/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ritchie Jere-miah, Ibrahim Daudi, Elisha Mashauri, Ben Safari, Bakari Sanga, Charles Kapela, Ally Reus, Eldad Samwel, Charles Monyo, Jb Victor, Mogela Kigendi

Mishe ziwe rahisi. Biashara izidi kusonga. Move with Honda 125cc. 🏍️🔥Hapa 🚩 Rider's Club point Zote kwenye Ofa🔥Ongea nas...
20/07/2026

Mishe ziwe rahisi. Biashara izidi kusonga. Move with Honda 125cc. 🏍️🔥
Hapa 🚩 Rider's Club point
Zote kwenye Ofa🔥
Ongea nasi leo WhatsApp 0749 480 912


Ready kwa kazi 🔥Ready kuiiimbisha barabara 🔥Honda 110cc 💙Partner wa mishe mishe.Ongea nasi leo WhatsApp 0749 480 912    ...
20/07/2026

Ready kwa kazi 🔥
Ready kuiiimbisha barabara 🔥

Honda 110cc 💙
Partner wa mishe mishe.
Ongea nasi leo WhatsApp 0749 480 912



Usisubiri engine ikupe dalili za kuharibika! ⚠️Badili Honda Genuine Oil kwa wakati ili:✅ Kulinda engine✅ Kupunguza matum...
20/07/2026

Usisubiri engine ikupe dalili za kuharibika! ⚠️
Badili Honda Genuine Oil kwa wakati ili:
✅ Kulinda engine
✅ Kupunguza matumizi ya mafuta
✅ Kuongeza nguvu za pikipiki
✅ Kuongeza maisha ya engine
Engine yenye afya huanza na Oil sahihi. 🏍️🔥
Tucheki leo WhatsApp 0749 480 912


King HONDA TUFF 🔥🔥Engine 125cc, Speed 140, Gear 4.Master wa Road ngumu, Zipo hapa sasa Rider's Mapikipiki kwa bei KITOOO...
20/07/2026

King HONDA TUFF 🔥🔥
Engine 125cc, Speed 140, Gear 4.
Master wa Road ngumu, Zipo hapa sasa Rider's Mapikipiki kwa bei KITOOOONGAA
📞0749480912.
WhatsApp 0749 480 912


🏆 FIFA World Cup 2026 FINAL 🏆Nani leo anakwenda kuwa Champion wa dunia?? 😊👇🏼Tuambie  0749 480 912
19/07/2026

🏆 FIFA World Cup 2026 FINAL 🏆
Nani leo anakwenda kuwa Champion wa dunia?? 😊👇🏼
Tuambie 0749 480 912


🔥Hapa unaondoka na Honda ipi?? Kwanini😊Honda 110cc ♥️---2.8M TshHonda 125cc Tax❤️----3.2M TshHonda 125cc X Tuff💙👊🏽---3.6...
17/07/2026

🔥Hapa unaondoka na Honda ipi?? Kwanini😊
Honda 110cc ♥️---2.8M Tsh
Honda 125cc Tax❤️----3.2M Tsh
Honda 125cc X Tuff💙👊🏽---3.6M Tsh
Honda 150cc ❤️💙💪🏼-----3.6M Tsh
📌 PIKIPIKI ZOTE NI MPYAA.
UBORA UNAO AMINIKA KUTOKA HONDA🔥🔥
Tupigie hapa 0749 480 912
WhatsApp 0749 480 912


🏍️ RIDERSKwa nini pikipiki inaweza kuanza kula mafuta mengi kuliko ilivyokuwa mpya? ⛽Ukiona matumizi ya mafuta yameongez...
17/07/2026

🏍️ RIDERS

Kwa nini pikipiki inaweza kuanza kula mafuta mengi kuliko ilivyokuwa mpya? ⛽

Ukiona matumizi ya mafuta yameongezeka ghafla, huenda sababu ni moja au zaidi kati ya hizi:

✅ 1. Air Filter imechafuka
Air filter ikiziba, engine hupata hewa kidogo na kutumia mafuta mengi zaidi.

✅ 2. Spark Plug imechoka
Spark plug ikiharibika, mwako wa mafuta hauwi mzuri na matumizi ya mafuta huongezeka.

✅ 3. Tyre Pressure iko chini
Matairi yenye upepo mdogo huongeza uzito wa kuvuta, hivyo engine hutumia mafuta mengi zaidi.

✅ 4. Oil imepitwa na muda wa kubadilishwa
Oil iliyochoka huongeza msuguano wa engine, jambo linaloongeza matumizi ya mafuta.

✅ 5. Kuendesha kwa kasi kubwa au kuongeza mwendo ghafla mara kwa mara
Mtindo wa uendeshaji una athari kubwa kwenye matumizi ya mafuta.

✅ 6. Carburetor au Fuel Injection inahitaji service
Mfumo wa mafuta usipokuwa kwenye hali nzuri, engine hutumia mafuta kupita kiasi.

💡 Kumbuka: Matunzo ya mara kwa mara ndiyo siri ya kupunguza matumizi ya mafuta, kuongeza nguvu ya engine, na kuifanya pikipiki yako idumu kwa miaka mingi.
Tucheki WhatsApp 0749 480 912


12/07/2026

Moja Ya Chuma Kwa mteja wetu kutoka IRINGA 🔥🔥♥️
Wakali wa location tag hapa ni sehemu gani ndani ya Iringa 🔥.
Kupata pikipiki kali za Honda k**a hii tucheki WhatsApp 0749 480 912.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tems Motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share