EGHO Motors

EGHO Motors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EGHO Motors, Motor Vehicle Company, Sinza Vatican, Dar es Salaam.

Karibu, tunaagiza na kuuza magari kutoka JAPAN,UK,SINGAPOLE na kokote nje ya nchi magari yenye viwango vya hali ya juu, tuna zingatia ubora pia tunafanya huduma ya clearing pia spares parts zote za magari 0766633777 tupigie mikoa yote tunafika

15/08/2026

LINDA UWEKEZAJI WAKO NA EGHO MOTORS

Kununua gari si matumizi tu, ni uwekezaji mkubwa. Na kila uwekezaji unahitaji ulinzi.

Ndiyo maana EGHO MOTORS tupo hapa kuhakikisha tunakusaidia kulinda wewe na gari lako kupitia huduma zetu za bima za magari.

Tunakusaidia kupata bima inayokufaa kulingana na mahitaji yako:

✅ Third Party Insurance – Inakidhi matakwa ya kisheria na hulinda dhidi ya madai ya uharibifu unaoweza kuwasababishia watu wengine.

✅ Comprehensive Insurance – Ulinzi mpana zaidi kwa gari lako dhidi ya ajali, wizi, moto na hatari nyingine zilizofunikwa na bima, pamoja na dhima kwa watu wengine kulingana na masharti ya sera.

Kwa nini uchague EGHO MOTORS?

✔️ Ushauri wa kitaalamu kabla ya kuchagua bima.
✔️ Mchakato rahisi na wa haraka.
✔️ Tunakusaidia kupata bima inayolingana na bajeti na mahitaji yako.

Umewekeza kwenye gari lako, sasa linda uwekezaji wako.

🛡️ EGHO MOTORS COMPANY LIMITED

15/08/2026

*LEXUS LX*
Year: 2026
Mileage: 301km
Engine: 3,500cc
Fuel : petrol
Color: Black
Doors: 5
Seats: 7
Trans; Automatic
Drive: 4wheel drive

PRICE TZS 700,000,000/=

Malipo ni Awamu mbili;
✅Awamu ya kwanza Tsh. 350,000,000/=

✅Awamu ya Pili. Tsh. 350,000,000/=

Location: Dar es salaam, SINZA VATICAN
Contact: 0766 633 777/0616000694
Inst; EGHO MOTORS

EGHO MOTORS
ONLY QUALITY CARS....

14/08/2026

🔥 EGHO MOTORS 🔥

JAPAN IMPORT PRICE GUIDE 🇯🇵

🚘 Mazda CX-5 – 36M

🚘 Subaru Forester – 28M–38M

🚘 Toyota Alphard – 26M–30M

🚘 Mitsubishi RVR – 26M–29M

🚘 Outlander PHEV – 35M–45M

🚘 Toyota Rumion – 22.5M–23.5M

🚘 Audi Q5 – 45M

🚘 Mazda Demio – 16M

🚘 Toyota Noah – 26.5M

🚘 Mazda Verisa – 17M–18M

🚘 Toyota IST – 23.5M

━━━━━━━━━━━━━━

✅ Import kutoka Japan 🇯🇵
✅ Auction Grade Original
✅ Tunakuletea ndani ya siku 45
✅ Payment kwa awamu mbili

📍 EGHO MOTORS COMPANY LIMITED

13/08/2026

NDINGA KIBUBU kutoka EGHO MOTORS

Usisubiri uwe na pesa zote ndipo ununue gari. Anza leo kwa kiasi unachomudu.

NDINGA KIBUBU ni mfumo maalum wa kukuwezesha kuwekeza fedha kidogo kidogo hadi utimize ndoto yako ya kumiliki gari.

Kwa nini uchague NDINGA KIBUBU?

✅ Haina kiwango cha chini cha kuanzia.
✅ Haina riba.
✅ Haina makato ya siri.
✅ Unaweka fedha kidogo kidogo kulingana na uwezo wako.
✅ Unaamua mwenyewe muda unaotaka kufikia lengo lako la kumiliki gari.

Iwe unaweka kila siku, kila wiki au kila mwezi, kila hatua unayochukua inakusogeza karibu zaidi na gari lako la ndoto.

Anza leo, wekeza kidogo kidogo, kesho endesha gari lako.

🔥 NDINGA KIBUBU

12/08/2026

MILIKI GARI LEO KWA MKOPO – EGHO MOTORS

Je, umepata gari unalolipenda lakini huna fedha zote kwa wakati mmoja?

EGHO MOTORS inakuletea suluhisho rahisi la kumiliki gari kupitia huduma yetu ya mkopo wenye riba nafuu.

Mfumo wetu ni rahisi:

✅ Lipa 50% ya thamani ya gari k**a malipo ya awali.

✅ Asilimia 50% iliyobaki unapatiwa mkopo kwa riba nafuu.

✅ Chagua muda wa kulipa unaokufaa:
📅 Miezi 6
📅 Mwaka 1
📅 Miaka 2

Kwa utaratibu huu, unaweza kuondoka na gari lako mapema huku ukiendelea kulipa salio kwa utaratibu uliokubalika.

✔️ Masharti rahisi
✔️ Mchakato wa haraka
✔️ Riba nafuu
✔️ Huduma ya kuaminika

Usiahirishe ndoto yako ya kumiliki gari.

EGHO MOTORS COMPANY LIMITED

12/08/2026

IMPORT YOUR DREAM CAR WITH EGHO MOTORS 🚘

Unatafuta gari la ndoto yako? Sisi tunakuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi kwa usalama na bei shindani.

🌎 Tunaagiza magari kutoka:
🇯🇵 Japan
🇸🇬 Singapore
🇬🇧 United Kingdom (UK)
🇩🇪 Germany
🇿🇦 South Africa
🌍 Na nchi nyingine nyingi kulingana na mahitaji yako.

⏳ Ndani ya siku 45 tu, gari lako linafika Bandari ya Tanzania.

Mfumo wa Malipo

💳 Awamu ya Kwanza: 50% wakati wa kuagiza gari.
🚢 Awamu ya Pili: 50% baada ya gari kufika Tanzania.

✅ Historia ya gari inathibitishwa
✅ Hakuna gharama zilizofichwa
✅ Tunakusimamia mchakato wote kuanzia ununuzi hadi gari kukabidhiwa.

EGHO MOTORS COMPANY LIMITED

11/08/2026
Ndoto ya mtanzania mwingine Leo tumeitimiza TOYOTA AQUA 2012Asante Dar es salaam
11/08/2026

Ndoto ya mtanzania mwingine Leo tumeitimiza
TOYOTA AQUA 2012
Asante Dar es salaam

Address

Sinza Vatican
Dar Es Salaam
2233

Telephone

+255622576225

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EGHO Motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EGHO Motors:

Shortcuts

Share