10/07/2026
Magari mengi sana sasa hivi shida yake kubwa na matatizo mengi ni spark plugs copy sana. Yaani miezi miwili tu gari inakosa nguvu, missifiring, inatumia mafuta sana. Yaani shida tupu lkn kwasababu gani shida ni spark plugs Copy sana na wengine matajiri huwa hawana mda wa kukagua wakati wa Services. Ndugu wateja k**a unahitaji spark plugs original kabisa na unakaa mda mrefu karibu ofisini kwetu. Ubungo mawasiliano. Hata ukiwa mkoani wewe niambie gari au engine. Simu 0654 135533/ 0747 297 803