TFL Motor Group

TFL Motor Group sale of new and used cars and car repairs

14/08/2026

πŸ› οΈπŸš˜ CAR OIL SERVICE – PROTECT YOUR ENGINE!

Usisubiri gari lianze kutoa warning ndipo ukumbuke service. ⏰
Badilisha engine oil kwa wakati ili kusaidia kulinda engine, kuboresha performance na kuongeza ufanisi wa gari lako. πŸ”§βœ¨

πŸ“ Karibu TFL Garage kwa Car Oil Service ya uhakika.

πŸš— Your Car Deserves the Best Care!

TFLMotors DarEsSalaam

14/08/2026

πŸ”₯ SOLD! SOLD! SOLD! πŸ”₯

🚘 Toyota hii tayari imepata mwenyewe! βœ…πŸŽ‰

Tunawashukuru sana wateja wetu kwa kuendelea kutuamini. πŸ™πŸ½β€οΈ

Lakini usijaliβ€”magari mengine bado yapo! πŸš—πŸ”₯
Karibu showroom yetu uchague gari lako linalofuata, lenye ubora, comfort na specs unazohitaji.

πŸ“ TFL Motor Group
πŸ“ž 0786 800 890 | 0786 800 895 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

Gari lako la ndoto linaweza kuwa bado lipo hapa! 🏁πŸ”₯

CarDealership DriveYourDream

13/08/2026

πŸ”₯ NEW TOYOTA LAND CRUISER LC 250 β€” BUILT FOR POWER! πŸ”₯

Unleash the ultimate combination of luxury, strength & adventure with the new Toyota Land Cruiser LC 250. πŸš™πŸ–€

✨ 2025 LC 250 GX β€” Rugged, powerful & ready for any journey.
✨ 2024 LC 250 VX Modellista β€” Premium luxury with an iconic presence.
πŸ’° LOAN AVAILABLE

πŸ“ Mwai Kibaki Rd, Mikocheni A, Dar es Salaam
πŸ“ž 0786 800 890 | 0786 800 895

Toyota Land Cruiser LC 250 β€” Built for Power. Designed for Adventure.

LC250GX LC250VX Modellista LuxurySUV DarEsSalaam LoanAvailable

πŸš—πŸ”§ Gari yako inastahili huduma bora!Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa. TFL GARAGE tunakuhudumia kwa utaalamu, uaminifu n...
11/08/2026

πŸš—πŸ”§ Gari yako inastahili huduma bora!

Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa. TFL GARAGE tunakuhudumia kwa utaalamu, uaminifu na vifaa sahihi. πŸ’―

βœ… Free Car Inspection
βœ… Free Diagnostic Check
βœ… Free Car Wash
πŸ› οΈ Oil Service kuanzia 89,000/= TZS

πŸ“ Mwai Kibaki Rd, Mikocheni – Dar es Salaam
πŸ“ž 0786 800 895 | 0786 800 890

TFL GARAGE β€” WE CARE! πŸ–€πŸ’›
WeCare

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TFL MOTORS GROUP inawatakia Watanzania wote HERI YA NANE NANE! πŸŒΎπŸŽ‰Katika siku hii muhimu, tunasherehekea juhudi, bidii...
09/08/2026

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TFL MOTORS GROUP inawatakia Watanzania wote HERI YA NANE NANE! πŸŒΎπŸŽ‰

Katika siku hii muhimu, tunasherehekea juhudi, bidii na mchango wa wakulima katika kujenga uchumi na taifa letu. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈ

🚘 TFL MOTORS GROUP β€” tunapatikana kwa ajili ya mahitaji yako yote ya magari, kutoka magari mapya hadi yaliyotumika, kutoka Toyota, Lexus, Mercedes-Benz, BMW na mengine mengi.

πŸ“ž 0786 800 895 | 0786 800 890
πŸ“ Mwai Kibaki Rd, Mikocheni, Dar es Salaam

Nane Nane Njema! πŸŒΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
DarEsSalaam VehicleDealership

NEW 2024 TOYOTA LAND CRUISER LC 250 VX MODELLISTA πŸ”₯Experience luxury, performance, and unmatched capability with the New...
06/08/2026

NEW 2024 TOYOTA LAND CRUISER LC 250 VX MODELLISTA πŸ”₯

Experience luxury, performance, and unmatched capability with the New Toyota Land Cruiser LC 250 VX Modellista. Designed for those who demand comfort without compromising power.

βœ… 2,800cc Turbo Diesel Engine
βœ… Automatic Transmission
βœ… Smart Key & Push Start
βœ… Apple CarPlay
βœ… Cruise Control
βœ… 360Β° Camera
βœ… Parking Sensors & Assist
βœ… JBL Premium Sound System
βœ… Premium Leather Interior
βœ… Alloy Wheels

πŸ’° LOAN AVAILABLE – Own your dream SUV with flexible financing options.

πŸ“ Visit our showroom:
Mwai Kibaki Road, Mikocheni, Dar es Salaam

πŸ“ž Call us today:
0786 800 890 | 0786 800 895

Built for Power. Designed for Adventure.

LoanAvailable TFLMotorGroup

🚘 NEW 2024 TOYOTA LAND CRUISER LC 250 GX 🚘

The Toyota Land Cruiser LC 250 GX combines legendary Toyota reliability with rugged performance, making it the perfect SUV for both city driving and off-road adventures.

βœ… 2,800cc Turbo Diesel Engine
βœ… Automatic Transmission
βœ… Smart Key & Push Start
βœ… Apple CarPlay
βœ… Cruise Control
βœ… Alloy Wheels
βœ… Spacious & Comfortable Cabin
βœ… Toyota Safety Features

πŸ’° LOAN AVAILABLE – Flexible financing options available.

πŸ“ Visit our showroom:
Mwai Kibaki Road, Mikocheni, Dar es Salaam

πŸ“ž Call us today:
0786 800 890 | 0786 800 895

Engineered to Conquer Every Journey.

TFLMotorGroup AdventureReady

04/08/2026

Gari lako linastahili huduma ya kiwango cha juu! πŸ”§

Usisubiri hitilafu iwe kubwa. Leta gari lako TFL Garage kwa huduma za kitaalamu zinazohakikisha usalama, ubora na utendaji bora wa gari lako.

βœ… Full Vehicle Service
βœ… Engine Diagnosis & Repair
βœ… Brake & Suspension Service
βœ… Electrical Repairs
βœ… Body & Paint Works
βœ… Oil Change & General Maintenance

πŸ“ Location: Mwai Kibaki Road, Mikocheni A, Dar es Salaam
πŸ“ž Book your appointment: 0786 800 895 | 0786 800 890

TFL Garage – Tunatunza gari lako k**a letu.

sale of new and used cars and car repairs

30/07/2026

Kutoka Muonekano Dhaifu hadi Mwonekano wa Mpya 🎨

Je, rangi ya gari lako imefifia, imechubuka au imeharibika kutokana na matumizi ya muda mrefu? Usihofu! Timu yetu ya wataalamu wa TFL Garage inalirejesha gari lako kwenye ubora wa kiwandani kwa huduma za kisasa za Body Repair & Professional Car Painting.

βœ… Full Body Painting
βœ… Dent & Scratch Repair
βœ… Color Matching kwa usahihi wa hali ya juu
βœ… Premium Paint Finish yenye kung’aa na kudumu

Matokeo? Gari lako linarudi barabarani likiwa na mwonekano wa kuvutia k**a jipya! ✨

πŸ“ Location: Mikocheni A, Mwai Kibaki Road, Opposite GSM House
πŸ“ž Call/WhatsApp: 0786 800 890 | 0786 800 895

TFL Garage – Tunarudisha thamani, uzuri na hadhi ya gari lako. πŸ”₯

CarCare ProfessionalPainting DarEsSalaam GarageYaKuaminika

28/07/2026

KUTOKA AJALI HADI KUWA MPYA TENA! βœ¨πŸš—

Ajali si mwisho wa safari ya gari lako. Katika TFL GARAGE, tunalirejesha gari lako katika ubora, mwonekano na hadhi yake ya awali kwa kutumia teknolojia ya kisasa na mafundi wenye uzoefu.

πŸ”„ BEFORE ➜ AFTER

βœ”οΈ Body Repair ya kitaalamu
βœ”οΈ Car Painting yenye ubora wa hali ya juu
βœ”οΈ Dent Removal & Panel Beating
βœ”οΈ Chassis Alignment
βœ”οΈ Polishing & Finishing
βœ”οΈ Insurance Repair Services

Matokeo yetu yanaongea yenyeweβ€”kutoka gari lililoharibika hadi kuonekana k**a jipya.

πŸ“ Location: Mikocheni A, Mwai Kibaki Road, Opposite GSM House
πŸ“ž Call/WhatsApp: 0786 800 890 | 0786 800 895

TFL GARAGE – Tunarudisha ubora, tunarejesha thamani ya gari lako. 🚘✨

AccidentRepair CarRestoration AutoBody GarageYaKuaminika DarEsSalaam QualityFirst

28/07/2026

🚘 2012 RANGE ROVER DISCOVERY 4 🚘

Experience luxury, power, and exceptional comfort with this well-maintained 2012 Range Rover Discovery 4. Whether you’re driving through the city or taking on rugged terrain, this SUV is built to deliver outstanding performance and reliability.

✨ Vehicle Specifications
πŸ“Œ Make: Range Rover
πŸ“Œ Model: Discovery 4
πŸ“Œ Year: 2012
πŸ’° Price: TZS 79.8M
🎨 Color: Gray
βš™οΈ Engine: 2989CC Turbo Diesel
πŸ”„ Transmission: Automatic
β›½ Fuel Type: Diesel
πŸ›£οΈ Mileage: 149,599 Miles

🌟 Key Features
βœ”οΈ Air Conditioning
βœ”οΈ Airbags
βœ”οΈ Alloy Wheels
βœ”οΈ AM/FM Radio
βœ”οΈ Automatic Transmission
βœ”οΈ Premium Leather Interior
βœ”οΈ Spacious 7-Seater Cabin
βœ”οΈ Comfortable Seating for Long Journeys
βœ”οΈ Smooth & Powerful Driving Experience
βœ”οΈ Premium Sound System

Own this premium SUV today and enjoy the perfect combination of luxury, performance, and versatility.

πŸ“ Visit TFL Motor Group Miko cb heni A Mwaikibaki Road
πŸ“ž 0786 800 890 | 0786 800 895 Contact us today for more information or to schedule a viewing.

DieselSUV Automatic UsedCars DarEsSalaam TanzaniaCars PremiumVehicles DriveInStyle

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 19:00
Tuesday 08:30 - 19:00
Wednesday 08:30 - 19:00
Thursday 08:30 - 19:00
Friday 08:30 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TFL Motor Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TFL Motor Group:

Shortcuts

Share

Category