Fundi gearbox za automatic

Fundi gearbox za automatic MATATZO YA GEARBOX❌
❌gari hairudi nyuma au aiyend mbele
❌haichenj au haimaliz gia
❌inachelewa kutembea au kurudi nyuma n.k
call:0759910641

Swipe ⬅️⬅️Limp mode sio ugonjwa, ni tahadhari. Tatizo likipuuzwa, gharama huwa kubwa zaidiUkiwa na changamoto yoyote ya ...
02/07/2026

Swipe ⬅️⬅️

Limp mode sio ugonjwa, ni tahadhari. Tatizo likipuuzwa, gharama huwa kubwa zaidi

Ukiwa na changamoto yoyote ya gearbox usisite kuwasiliana nasi au kufika ofisini kwa ajili ya check up na matengenezo

Tunapatikana jet lumo airport dar es salaam
0759 910 641

Kuna watu walinipigia simu, Wana RUMION imegoma kutembea baada ya kufanya service nikawauliza mmeweka hydraulic gani wak...
28/06/2026

Kuna watu walinipigia simu, Wana RUMION imegoma kutembea baada ya kufanya service nikawauliza mmeweka hydraulic gani wakasema LUBEX 😅

SERIOUSLY.? LUBEX KWENYE RUMION.? 😅😅

Ebu niambie apo kwa COMMENT au POLL walitakiwa kuweka hydraulic gani.?

SWIPE
21/06/2026

SWIPE

K**a una engine ya 1nz au 1zz usiache kubadili transmission filter kila unapofanya service kwasabu gearbox nyingi magonj...
13/06/2026

K**a una engine ya 1nz au 1zz usiache kubadili transmission filter kila unapofanya service kwasabu gearbox nyingi magonjwa yanaanziaga apo, endapo hydraulic itashindwa kupanda vizuri.

Hii sio ya kusafisha ni ya kubadilisha
Usiruhusu fundi aitoboe ili hydraulic ipande vizuri ni hatari kwani uchafu unaweza kufika sehemu zisizotakiwa

Usinunue used mpya zipo kwa 60,000/=

Kwa huduma ya service na check up wasiliana nasi
0759 910 641

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT

Ukiwa na changamoto kwenye gari yako ambayo unahisi k**a itakua ni gearbox usiache kufika ofisini kwetu tukukagulie kabl...
10/06/2026

Ukiwa na changamoto kwenye gari yako ambayo unahisi k**a itakua ni gearbox usiache kufika ofisini kwetu tukukagulie kabla ujafanya maamuzi mabaya, tenga muda wako njoo kwetu tukuangalizie.

Check up 35,000/=

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT

Google maps Location 📍 Automatic Gearbox Clinic

0759 910 641

31/05/2026

Acha ubunifu

Wakati mwingine gearbox hupewa lawama bureUSIKIMBILIE KUFUNGUA GEARBOX,Njoo kwetu tukufanyie check up kisha tukupe ushau...
30/05/2026

Wakati mwingine gearbox hupewa lawama bure

USIKIMBILIE KUFUNGUA GEARBOX,
Njoo kwetu tukufanyie check up kisha tukupe ushauri na marekebisho ya uhakika

Gharama ya check up ni 30,000/= tu.

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT
Pia tunafanya HOME SERVICE 🏡 kwa gharama za mteja

Swipe ⏪️Kwa marekebisho ya automatic gearbox, service na check up ya gearbox wasiliana nasi 0759 910 641 Tunapatikana je...
29/05/2026

Swipe ⏪️

Kwa marekebisho ya automatic gearbox, service na check up ya gearbox wasiliana nasi 0759 910 641

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT

NakumbushaHizi hapa ni dalili za gearbox ya automatic yenye shida1.Kuchelewa kubadili gear2.mlio usio wa kawaida3.Gari k...
25/05/2026

Nakumbusha

Hizi hapa ni dalili za gearbox ya automatic yenye shida
1.Kuchelewa kubadili gear
2.mlio usio wa kawaida
3.Gari kutetemeka au kugonga gafra
4.kuvuja kwa oil ya gearbox
5.kushindwa kupokea gear kabisa

Ukiona dalili 1/2/3.. au zote kwa pamoja, wasiliana nasi kwa marekebisho/ kupata gearbox / ushauri.

📍 Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT( dar es salaam)
Direction on google maps search AUTOMATIC GEARBOX CLINIC

Tunafanya HOME SERVICE kwa gharama za mteja (go & return)
Weka booking

(+255) 0759 910 641

Tunapatikana jet lumo airport 0759 910 641 Pia tunafanya HOME SERVICE kwa gharama ya mteja
17/05/2026

Tunapatikana jet lumo airport 0759 910 641

Pia tunafanya HOME SERVICE kwa gharama ya mteja

Address

Jet Lumo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi gearbox za automatic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi gearbox za automatic:

Shortcuts

Share