Malaki auto spares

Malaki auto spares 🔺SPARE ZA BAJAJI JUMLA NA REJAREJA
🔺UREMBO JUMLA NA REJAREJA
🔺GARAGE NZURI NA YA KISASA"
🔺CAR WASH YA KISASA
📍Ubungo Maziwa 📞0620636045
(1)

Bulb za gari namba zote tunazo kuanzia wats 10 mpaka 400w zipoZipo jumla na rejareja tupigie simu sasa 0620636045 au wek...
15/08/2026

Bulb za gari namba zote tunazo kuanzia wats 10 mpaka 400w zipo
Zipo jumla na rejareja tupigie simu sasa 0620636045 au weka oda yako whatsap

📍ubungo maziwa

14/08/2026

Unaponunua kwetu jipige kifua sema nimeamua kununua mkataba na si kupoteza tunauza uhakika na si tu spare kwetu tunakupa huduma ambayo umeiwaza kwa muda mrefu

Hatuleti mzigo ili kushindana bei ila tunaleta mzigo kushindana ubora na viwango

Asante kwa kutuchagua na kamwe hautajutia hapa ndio sehem thamani inatunzwa sababu tunafanya tunavyovipenda

📍Sisi tupo Ubungo maziwa karibu na bandari kavu

📞+255620636045

RELAY WIRE COMPLETE IKIWA NA RELAY MBILI PAMOJA NA WIRERING YA BATTERY Unaponunua kwetu jipige kifua sema nimeamua kunun...
11/08/2026

RELAY WIRE COMPLETE IKIWA NA RELAY MBILI PAMOJA NA WIRERING YA BATTERY

Unaponunua kwetu jipige kifua sema nimeamua kununua mkataba na si kupoteza tunauza uhakika na si tu spare kwetu tunakupa huduma ambayo umeiwaza kwa muda mrefu

Hatuleti mzigo ili kushindana bei ila tunaleta mzigo kushindana ubora na viwango

Asante kwa kutuchagua na kamwe hautajutia hapa ndio sehem thamani inatunzwa sababu tunafanya tunavyovipenda

📍Sisi tupo Ubungo maziwa karibu na bandari kavu

📞+255620636045

10/08/2026

Kati ya sehemu huyajutia kuifaham ni hapa MALAKI AUTO SPARE

Karibusana kwa huduma za spare parts na urembo wa bajaji sisi tunajua mahitaji yako

Hapa ni Ubungo maziwa(shungashunga)

Tupigie simu sasa au whatsap kwa huduma bora
📞255620636045

09/08/2026

Je unaweza kutofautisha shockup original na yakawaida ukiiona elimu hii hakuna atakaekufungua macho zaidi yetu

Karibu MALAKI AUTO SPARE AND ACCESSAORIES kila siku tunatoa elimu bura jinsi gani ya kuitambua na kudeal na spare original

Tunazo spare original kwa jumla na rejareja

📍Sisi tupo ubungo bandari kavu

📞0620636045

Fuse box tvs king zipo zinakuja zikiwa na fuse yake kabisa, zipo jumla na rejareja📍Sisi tupo ubungo maziwa (shungashunga...
06/08/2026

Fuse box tvs king zipo zinakuja zikiwa na fuse yake kabisa, zipo jumla na rejareja

📍Sisi tupo ubungo maziwa (shungashunga)

📞Tupigie simu au whatsap 0620636045

Tyre za tvs kashata kubwa kwa kashata ndogo zipo Tupigie simu au whatsap 0620636045📍Sisi tupo Ubungo Bandari kavu
06/08/2026

Tyre za tvs kashata kubwa kwa kashata ndogo zipo

Tupigie simu au whatsap 0620636045

📍Sisi tupo Ubungo Bandari kavu

Clutch boss original naza kawaida zipo kwa jumla na rejareja📍Sisi tupo Ubungo Shungashunga📞0620636045
05/08/2026

Clutch boss original naza kawaida zipo kwa jumla na rejareja

📍Sisi tupo Ubungo Shungashunga

📞0620636045

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 11:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malaki auto spares posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Malaki auto spares:

Shortcuts

Share