07/08/2026
Katika maadhimisho ya Nane Nane, tunawatambua wakulima wanaolisha taifa na kujenga uchumi wetu. 🌾🚛 VERCOE Double Lala imeundwa kusafirisha mazao kwa uwezo mkubwa, usalama na ufanisi kutoka shambani hadi sokoni. 🇹🇿💪