Beibomba Matairi

Beibomba Matairi Usalama wa gari unaanzia kwenye kuwa na tairi bora na imara. Piga 0735 445 161 au 0745 445 161.

JE, UNA UHAKIKA NA SAFARI YAKO?Karibu ujipatie tairi bora na imara ili uwe na uhakika na safari yako. Piga 0735 445 161 ...
20/07/2026

JE, UNA UHAKIKA NA SAFARI YAKO?
Karibu ujipatie tairi bora na imara ili uwe na uhakika na safari yako. Piga 0735 445 161 au 0745 445 161.

Mshambuliaji wa Aston Villa FC, Ollie Watkins amehusika moja kwa moja katika magoli 7 kwenye mechi 7 alizocheza za Engla...
08/11/2020

Mshambuliaji wa Aston Villa FC, Ollie Watkins amehusika moja kwa moja katika magoli 7 kwenye mechi 7 alizocheza za England Premier League msimu huu wa 2020/21.

👕 Mechi - 7
⚽ Magoli - 6
🅰️ Pasi za magoli - 1

Aston Villa FC imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Arsenal FC kwenye mechi ya England Premier League leo Jumapili ya...
08/11/2020

Aston Villa FC imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Arsenal FC kwenye mechi ya England Premier League leo Jumapili ya Novemba 08, 2020.

Aston Villa FC (wafungaji)
⚽ Saka (25')OG, Watkins (72',75')

Difaa Hassani El Jadidi FC imeripotiwa kuwa inakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Coastal Union FC, Rashid C...
08/11/2020

Difaa Hassani El Jadidi FC imeripotiwa kuwa inakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Coastal Union FC, Rashid Chambo mwenye umri wa miaka 20 raia wa Tanzania kwa kumsainisha mkataba wa miaka 5. Chambo alijiunga na Coastal Union FC kwenye dirisha kubwa la usajili la msimu huu wa 2020/21 akitokea nchini Sweden.

Kocha mkuu wa Juventus FC, Andrea Pirlo amethibitisha kuwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo ameumia kifundo cha mguu wa ku...
08/11/2020

Kocha mkuu wa Juventus FC, Andrea Pirlo amethibitisha kuwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo ameumia kifundo cha mguu wa kulia (enka) kwenye mechi ya Serie A leo Jumapili ya Novemba 08, 2020 dhidi ya SS Lazio.

Mechi ya England Premier League kati ya Manchester City dhidi ya Liverpool FC imemalizika kwa sare leo Jumapili ya Novem...
08/11/2020

Mechi ya England Premier League kati ya Manchester City dhidi ya Liverpool FC imemalizika kwa sare leo Jumapili ya Novemba 08, 2020.

Manchester City (mfungaji)
⚽ Jesus (31')
Liverpool FC (mfungaji)
⚽ Salah (13')p

Kiungo mshambuliaji wa AS Roma, Henrikh Mkhitaryan leo Jumapili ya Novemba 08, 2020 kwenye mechi ya Serie A dhidi ya Gen...
08/11/2020

Kiungo mshambuliaji wa AS Roma, Henrikh Mkhitaryan leo Jumapili ya Novemba 08, 2020 kwenye mechi ya Serie A dhidi ya Genoa FC amefanikiwa kufunga hat-trick yake ya kwanza akiwa na AS Roma kwenye ushindi wa magoli 3-1.

Mechi ya Serie A kati ya Atalanta FC dhidi ya Inter Milan leo Jumapili ya Novemba 08, 2020 imemalizika kwa sare.Atalanta...
08/11/2020

Mechi ya Serie A kati ya Atalanta FC dhidi ya Inter Milan leo Jumapili ya Novemba 08, 2020 imemalizika kwa sare.

Atalanta FC (mtungaji)
⚽ Miranchuk (79')
Inter Milan (mfungaji)
⚽ Martinez (58')

AS Roma imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Genoa FC kwenye mechi ya Serie A leo Jumapili ya Novemba 08, 2020.Genoa ...
08/11/2020

AS Roma imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Genoa FC kwenye mechi ya Serie A leo Jumapili ya Novemba 08, 2020.

Genoa FC (mfungaji)
⚽ Pjaca (50')
AS Roma (mfungaji)
⚽ Mkhitaryan (45',67'85')

Address

Livingstone Street
Dar Es Salaam
DARESSALAAM,

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255717752923

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beibomba Matairi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share