dassparetz

dassparetz � Based on European cars
� Body,Electronics & engine parts
� Order parts worldwide,fast shipping
�New & used parts available
The Luxury u can afford

Mercedes zenye mfumo wa hybrid/plug in hybrid compressor za Ac tunazo pamoja na condenser zake.Karibu dukani kwetu kwa s...
12/08/2026

Mercedes zenye mfumo wa hybrid/plug in hybrid compressor za Ac tunazo pamoja na condenser zake.
Karibu dukani kwetu kwa spare parts,lubricants na accessories

10/08/2026

K**a unamiliki rangerover yenye flash door handle ,na bahati mbaya battery imeenda down au remote battery zimeisha,basi usipate tabu hii ndio solution rahisi ya kufungua mlango wa gari yako.

Tunawashukuru na Kuwapongeza wakulima kwa mchango wao mkubwa katika taifa letu,Bila kusahau leo tuko wazi kuanzia saa 3 ...
08/08/2026

Tunawashukuru na Kuwapongeza wakulima kwa mchango wao mkubwa katika taifa letu,Bila kusahau leo tuko wazi kuanzia saa 3 Asubuh mpaka saa 2 usiku.
Karibuni sana

Ipendezeshe gari yako kwa rim kali kutoka kwetu,Tupigie simu kuweka order yako0678 705 805
07/08/2026

Ipendezeshe gari yako kwa rim kali kutoka kwetu,
Tupigie simu kuweka order yako
0678 705 805

K**a rangerover yako inagonga au ina vibration,basi mojawapo ya shida inaweza kuwa hii mikono ya chini,Karibu DAS SPARE…...
07/08/2026

K**a rangerover yako inagonga au ina vibration,basi mojawapo ya shida inaweza kuwa hii mikono ya chini,

Karibu DAS SPARE…Tuna spare zote za Velar kuanzia suspension parts hadi spare za umeme.
Tupigie:0678 705 805

05/08/2026

Ukifanya service bila ku reset service,Inakuwa ni sawa na haujafanya service kwa sababu system ya gari yako itaendelea kuhasabu gari haifanyiwa service.

Sisi DAS SPARE,Tutakusaidia kufanya service ,ku reset service pamoja na general inspection

05/08/2026

Faida ya kununua service kwetu ni kwamba huduma hii ya service ni bure kabisa.
Weka appointment yako leo ya service
Tupigie
0678 705 805

Hakikisha unanunua spare original kwa muuzaji sahii lakini pia spare zote genuine zina guarantee.Karibu DAS SPARE,kwa sp...
03/08/2026

Hakikisha unanunua spare original kwa muuzaji sahii lakini pia spare zote genuine zina guarantee.
Karibu DAS SPARE,kwa spare genuine lakini pia tuna aftermarket brand ambazo ni za uhakika

02/08/2026

Leo katika tips na trick,tujifunze vitu kadhaa kwenye Mercedes Benz GLC…

Asanteni wateja wetu wote,hakika july ulikuwa mwezi mzuri sana kwetu.Now tunaanza August tunawaomba muendelee kutusuppor...
01/08/2026

Asanteni wateja wetu wote,hakika july ulikuwa mwezi mzuri sana kwetu.Now tunaanza August tunawaomba muendelee kutusupport kwa spare parts,oil pamoja na accessories

Address

Mwenge Tra Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 10:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dassparetz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share