Honda Tanzania

Honda Tanzania Ukurasa rasmi wa Honda Tanzania. Tupigie: 0792 954 576 / 0675252697

Sasa Honda na Mogo wanahakikisha unatimiza ndoto zako za kumiliki chombo chako kwa mkopo.Tembelea ofisi za Mogo zilizopo...
14/08/2026

Sasa Honda na Mogo wanahakikisha unatimiza ndoto zako za kumiliki chombo chako kwa mkopo.

Tembelea ofisi za Mogo zilizopo:

- Mwenge Mpakani
- ⁠Kigamboni
- ⁠Mbezi Magufuli
- ⁠Tandika
- ⁠Mbagala Rangi Tatu
- ⁠Gongo La Mboto
- ⁠Msamvu Morogoro

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Wasiliana nao kupitia namba 0690 000222 kwa maelezo zaidi.

Wapenzi wa Honda, OFA hii ni ya kwenu. Karibu ununue pikipiki yoyote ya Honda ndani ya msimu huu wa Nane Nane, na sisi t...
13/08/2026

Wapenzi wa Honda, OFA hii ni ya kwenu.

Karibu ununue pikipiki yoyote ya Honda ndani ya msimu huu wa Nane Nane, na sisi tutakusindikiza kwa mafuta ya kuanzia yenye thamani ya TZS 20,000 freshi kabisa.

OFA hii ni kuanzia tarehe 11 hadi 31 Agosti.

Wasiliana nasi sasa kupitia namba +255 675 252697 / 0792 954 576 kwa maelezo zaidi.

Shughuli za kuhamisha maji zimerahisishwa na Pampu za Honda. Pampu hizi ni za uhakika, zina nguvu na uwezo wa kuhamisha ...
12/08/2026

Shughuli za kuhamisha maji zimerahisishwa na Pampu za Honda. Pampu hizi ni za uhakika, zina nguvu na uwezo wa kuhamisha maji kwa haraka na kwa kiwango kikubwa. Zinafaa kwa matumizi binafsi, shambani au kibiashara. Tupigie leo tukuhudumie popote ulipo.

Wasiliana nasi sasa kupitia namba +255 675 252697 / 0792 954 576 kwa maelezo zaidi.

Karibu uwe mmoja wa familia ya Honda. Tuna pikipiki za aina mbalimbali zinazofaa kwa shughuli za biashara na matumizi bi...
10/08/2026

Karibu uwe mmoja wa familia ya Honda. Tuna pikipiki za aina mbalimbali zinazofaa kwa shughuli za biashara na matumizi binafsi. Popote ulipo tunakufikia.

Honda tupo kwa ajili yako.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

Heri ya Siku ya Wakulima!Honda inawaenzi wakulima kwa kuwapatia bidhaa bora na za kuaminika, kuanzia vifaa vya kilimo ha...
08/08/2026

Heri ya Siku ya Wakulima!
Honda inawaenzi wakulima kwa kuwapatia bidhaa bora na za kuaminika, kuanzia vifaa vya kilimo hadi pikipiki zinazorahisisha shughuli za kila siku. Karibu tukuhudumie kwa bei nafuu.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

Nanenane hii usibaki nyuma! Karibu ujipatie tiller za Honda zenye nguvu kwa kilimo cha kisasa na chenye tija. Bidhaa zet...
07/08/2026

Nanenane hii usibaki nyuma!
Karibu ujipatie tiller za Honda zenye nguvu kwa kilimo cha kisasa na chenye tija. Bidhaa zetu zinajulikana kwa ubora, uimara na bei nafuu. Tupigie leo tukuhudumie popote ulipo..

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

Wapenzi wa Honda, karibuni kwa Supa Dealer wetu Afritool kwa huduma ya service ya pikipiki kwa bei nafuu kabisa.Msimu hu...
06/08/2026

Wapenzi wa Honda, karibuni kwa Supa Dealer wetu Afritool kwa huduma ya service ya pikipiki kwa bei nafuu kabisa.

Msimu huu wa Nane Nane, tumekuletea OFA maalum ili kuhakikisha pikipiki yako inabaki katika hali bora wakati wote.

Usipitwe, changamkia mchongo huu leo.

Wasiliana nao kupitia namba: 0716 904393 / 0788 777777

Msimu huu wa Nane Nane, boresha shughuli zako za kilimo na bidhaa za Honda. Kuanzia tiller, pampu za maji hadi sprayer, ...
05/08/2026

Msimu huu wa Nane Nane, boresha shughuli zako za kilimo na bidhaa za Honda. Kuanzia tiller, pampu za maji hadi sprayer, bidhaa zetu zimeundwa kukupa ufanisi, nguvu na matokeo bora shambani. Zinapatikana kwa bei nafuu. Karibu ujionee tofauti ya kilimo cha kisasa.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

Mishe za hapa na pale haziishi, ujanja ni kutumia mafuta kidogo. Honda ACE 125 Taxi ndio Pikipiki inayofaa kwa shughuli ...
03/08/2026

Mishe za hapa na pale haziishi, ujanja ni kutumia mafuta kidogo. Honda ACE 125 Taxi ndio Pikipiki inayofaa kwa shughuli zako za kila siku.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

31/07/2026

Kilimo cha kisasa kinahitaji vifaa vinavyoleta matokeo. Pampu za Honda zina nguvu katika umwagiliaji, kuokoa muda na kuongeza tija shambani. Jipatie yako leo ujionee tofauti.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 675 252 697 / 0792 954 576

Address

Mtaa Wa Congo Na K/koo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00

Telephone

+255675252697

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Honda Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share