05/08/2026
Gari lako linastahili huduma ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu wanaolielewa.
Katika Triple E Euro & Exotics, tunatoa huduma za uchunguzi wa kisasa (diagnostics), matengenezo ya kitaalamu, na matumizi ya vipuri halisi ili kuhakikisha gari lako linarejea barabarani katika ubora wake wa awali.
β
Car Diagnostics
β
Engine & Mechanical Repairs
β
Genuine Parts
β
Professional Service
Usikubali tatizo dogo liwe gharama kubwa kesho. Lete gari lako leo na upate huduma unayoweza kuamini.
π Bahari Beach, Bunju βAβ, Dar es Salaam
π 0759 175 349 | 0692 962 295