13/05/2026
✨ BADILISHA MUONEKANO WA GARI LAKO LEO ✨
Ukifungua mlango tu… interior inaongea yenyewe 😮🔥🚘
Seat Covers mpya za AR zipo
✔️ Clean finish
✔️ Muonekano wa kisasa
✔️ Comfort wakati wa safari
✔️ Gari liwe classy kila upande
Hizi sio seat covers za kawaida… ni muonekano wa premium ndani ya gari lako 🤝🔥
Mzigo mpya umewasili 📦
Wahi kuchagua design unayoipenda kabla hazijaisha 😌
📍swahili na twiga
“Interior safi ni heshima ya gari lako.”