08/08/2026
Happy Nane Nane day,
🪩✨
WEKEZA to DRIVE
Kwako Mkulima
WEKEZA to DRIVE-Haijawasahau wakulima katika Mipango Mzima wa kupata magari ya kilimo na hata baada ya kilimo k**a reward baada ya mavuno:
ZURI MOTORS Tupo nawe bega kwa bega ,Mkulima mdogo,wa Kati na hata wale wakuwa na wafanya Biasharas za kilimo
Tunakuwezesha mteja kulipa kidogokidogo mpaka pale tuu atakapofikia asilimia 50% na kuanza kuagiza gari atakalochagua kulingana na thamani ya kipindi husika, na kiasi kinachosalia ataendelea kulipa mpaka pale utakapo kamilisha gharama za gari.
Website: www.zurimotors.com
📞 Office: +255 744 999 000
📞 Irene: +255 719 800 700
📍 Samora Avenue, NHC House–Mezzanine Floor, Dar Es Salaam, Tanzania