Triple E Euro

Triple E Euro πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Dar’s Trusted Euro Car Garage & Parts Hub
πŸš— Service β€’ Repair β€’ Diagnostics β€’ Performance
πŸ”§ Genuine European Spare Parts Available
πŸ“© Order Spare Now

05/08/2026

Gari lako linastahili huduma ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu wanaolielewa.

Katika Triple E Euro & Exotics, tunatoa huduma za uchunguzi wa kisasa (diagnostics), matengenezo ya kitaalamu, na matumizi ya vipuri halisi ili kuhakikisha gari lako linarejea barabarani katika ubora wake wa awali.

βœ… Car Diagnostics
βœ… Engine & Mechanical Repairs
βœ… Genuine Parts
βœ… Professional Service

Usikubali tatizo dogo liwe gharama kubwa kesho. Lete gari lako leo na upate huduma unayoweza kuamini.

πŸ“ Bahari Beach, Bunju β€œA”, Dar es Salaam
πŸ“ž 0759 175 349 | 0692 962 295

03/08/2026

RASMI TUMEANZA KUTOA HUDUMA KUPITIA BIMA!

Triple E Auto Garage sasa tunakuletea huduma za matengenezo ya magari kupitia bima kwa uaminifu, ubora na weledi.

Ukipata ajali na gari lako lina bima halali, usiwe na wasiwasi! Lete gari lako kwetu na timu yetu ya wataalamu itahakikisha linapata huduma stahiki na kurudi katika hali yake bora.

βœ… Huduma za Matengenezo ya Magari
βœ… Huduma za Magari Yaliyopata Ajali
βœ… Huduma Kupitia Bima
βœ… Mafundi Wenye Uzoefu
βœ… Ubora na Uaminifu

πŸ“ Triple E Auto Garage Gari lako, jukumu letu!

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

πŸš™πŸ”₯ IPE MUONEKANO WA PICKUP TRUCK YAKO! πŸ”₯πŸš™Unatafuta Canopy imara, stylish na yenye muonekano wa kisasa kwa ajili ya Picku...
22/07/2026

πŸš™πŸ”₯ IPE MUONEKANO WA PICKUP TRUCK YAKO! πŸ”₯πŸš™

Unatafuta Canopy imara, stylish na yenye muonekano wa kisasa kwa ajili ya Pickup Truck yako? 😎πŸ’ͺ
Sasa unaweza kuipa gari yako muonekano mpya kabisa na kuongeza ulinzi pamoja na practicality.

✨ Canopy Zetu Zipo Kwa Kijanja!
πŸ“ Bahari Beach na Bunju β€œA”, Dar es Salaam
πŸ“ž 0759 175349 / 0692 962295
🌐 www.tripleeuro.co.tz

πŸ‘‰ Wasiliana nasi sasa na uifanye Pickup yako iwe na muonekano wa kipekee!

Linda Pickup yako kwa ubora unaostahili! πŸ’ͺ🚘Steel Canopy zetu zimeundwa kwa uimara, usalama na muonekano wa kisasa ili ku...
20/07/2026

Linda Pickup yako kwa ubora unaostahili! πŸ’ͺ🚘

Steel Canopy zetu zimeundwa kwa uimara, usalama na muonekano wa kisasa ili kufanya pickup yako iwe tayari kwa kazi yoyote.

βœ… Steel yenye ubora wa hali ya juu
βœ… Mfumo wa kufuli kwa usalama zaidi
βœ… Muundo wa kisasa unaoongeza thamani ya gari lako
βœ… Inafaa kwa matumizi ya biashara na binafsi

Tembelea Triple E Euro & Exotics leo upate ushauri wa kitaalamu na huduma bora za ufungaji.

πŸ“ Bahari Beach, Bunju β€œA”, Jeshi, Dar es Salaam
πŸ“ž 0759 175349 | 0692 962295

Triple E Euro & Exotics – Genuine European Spare Parts, Professional Service, Guaranteed Quality.

CarAccessories OffRoad DarEsSalaam ToyotaHilux FordRanger IsuzuDMax MitsubishiL200 NissanNavara VehicleUpgrade QualityFirst

24/06/2026

πŸš—πŸ›£οΈ Kabla hujaanza safari ya masafa marefu au mara tu unapomaliza safari yako, hakikisha gari lako linapata ukaguzi wa kitaalamu!

Safari ndefu zinaweza kuathiri mfumo wa engine, breki, suspension, matairi na sehemu nyingine muhimu za gari. Usisubiri hitilafu ijitokeze barabarani.

Triple Euro Auto Garage tunatoa huduma za ukaguzi wa kina ili kuhakikisha gari lako linaendelea kuwa salama, imara na tayari kwa safari inayofuata.

βœ… Engine Check
βœ… Brake Inspection
βœ… Suspension Check
βœ… Tire Assessment
βœ… Fluid Level Inspection
βœ… Computer Diagnostics

Linda usalama wako, familia yako na uwekezaji wako kwa kufanya ukaguzi wa gari mapema.

πŸ“ Tembelea Triple Euro Auto Garage leo kwa huduma za kitaalamu za magari ya kisasa.

LuxuryCars EuroCars ExoticCars DriveWithConfidence

Triple E Euro Auto Garage – Rafiki wa Gari Lako!Gari lako la Ulaya linastahili matunzo ya daraja la kwanza. Tunakuletea ...
22/06/2026

Triple E Euro Auto Garage – Rafiki wa Gari Lako!

Gari lako la Ulaya linastahili matunzo ya daraja la kwanza. Tunakuletea huduma bora za matengenezo, vipuri halisi (Genuine European Spare Parts), na utambuzi wa kisasa wa matatizo ya gari lako (Diagnostics).

Hapa ndipo nyumbani kwa uaminifu na utendaji kazi wa hali ya juu (Performance)!

πŸ“ Tunapatikana: Bahari Beach na Bunju β€œA” kwa Jeshi, Dar es Salaam.
πŸ“ž Wasiliana nasi wakati wowote: 0759-175349 / 0692-962295
🌐 Tembelea tovuti yetu: www.tripleeeuro.co.tz

DarEsSalaam GenuineParts CarRepair

18/06/2026

Kila gari lina hadithi yake, na kazi yetu ni kuhakikisha linaendelea kuandika hadithi hiyo barabarani.

Kutoka uchunguzi wa tatizo hadi matengenezo ya kitaalamu, timu yetu ipo tayari kukupa huduma bora na uhakika wa ubora.

Usisubiri tatizo liwe kubwa leta gari lako leo tupate kulirudisha kwenye kiwango chake bora.

πŸ“ Karibu TRIPLE E EURO & EXOTICS
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa miadi na maelezo zaidi.

BMWService EuroCars CarMaintenance MechanicLife DarEsSalaam

15/06/2026

Nguvu mpya, utendaji bora! πŸ”§πŸ”₯

Tumefanikiwa kumfungia mteja wetu engine mpya ya BMW X3 yenye engine code N20, kuhakikisha anapata performance ya hali ya juu, ufanisi wa mafuta na safari salama zaidi.

Kwa huduma za kitaalamu za kubadilisha engine, matengenezo makubwa na uchunguzi wa magari ya Ulaya na magari ya kifahari, timu yetu ipo tayari kukuhudumia.

Usikubali gari lako likupe shida β€” lipeleke kwa wataalamu. βœ…

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa ushauri na booking.
πŸ“ Karibu TRIPLE E AUTO GARAGE - Tunapatikana Bunju A Kwa Jeshi.

AutoGarage EuropeanCars LuxuryCarService BMWTanzania CarMaintenance DarEsSalaam

Kutoka Triple E Euro & Exotics, tunawatakia wateja wetu na wadau wote Eid Mubarak! Tunawatakia heri, amani, na furaha ka...
20/03/2026

Kutoka Triple E Euro & Exotics, tunawatakia wateja wetu na wadau wote Eid Mubarak! Tunawatakia heri, amani, na furaha katika sikukuu hii tukufu ya Eid Al-Fitr.

Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini k**a kituo chenu bora cha matengenezo na vipuri vya magari ya Ulaya. πŸŒ™βœ¨

TUNAAJIRI! 🚨Unatafuta nafasi ya kazi kwenye garage ya kisasa na yenye viwango vya kimataifa? Hii ni nafasi yako!πŸ”§ Mechan...
20/03/2026

TUNAAJIRI! 🚨
Unatafuta nafasi ya kazi kwenye garage ya kisasa na yenye viwango vya kimataifa? Hii ni nafasi yako!

πŸ”§ Mechanics (3)
⚑ Auto Electrician (1)

Jiunge na timu ya wataalamu katika Triple E Euro & Exotics na ukue pamoja nasi katika sekta ya magari ya kisasa πŸš—

πŸ“© Tuma maombi yako sasa kupitia:
πŸ“± WhatsApp: 0759 175 349
πŸ“§ Email: [email protected]

πŸ“ Bahari Beach, Bunju β€œA”, Dar es Salaam

Usikose nafasi hii – Apply Now!

GarageLife AutomotiveCareers TripleEEuro CareerOpportunity TanzaniaJobs

Address

Bahari Beach
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Triple E Euro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Triple E Euro:

Shortcuts

Share