Ulfa My Tint

Ulfa My Tint Car Care and Accessories / Sticker Designing / Wall Painting / Tinted Installation

27/07/2026

Tupo πŸ“SINZA MORI
Tunauza na kubandika sticker aina zote,popote tunakufikia Tanzania. Tupigie tukuhudumie 0673621459

25/07/2026

Subaru + Brembo style = Clean finish. πŸ”₯
Muonekano wa kipekee, kazi ya kiwango cha juu. Tunafanya details ziongee. πŸ’―
πŸ“ Sinza Mori | πŸ“ž 0673621459
Tunakufikia popote ulipo Tanzania.

24/07/2026

πŸ”₯ Mercedes-Benz imepata muonekano mpya!
Tumekamilisha kazi ya custom stickers (graphic design) kwa umakini na ubora wa hali ya juu. Kila detail imewekwa kwa usahihi ili gari lionekane la kipekee barabarani. πŸ’―
Unahitaji stickers za malori, magari, mabasi, pickup, bajaji au pikipiki? Tupo tayari kukuhudumia popote ulipo Tanzania. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“ Sinza Mori
πŸ“ž 0673 621 459
BOSCO PIMPER – Tunabadilisha muonekano wa gari lako kuwa wa kipekee. ✨

18/07/2026

BMW hii imefungwa AMERICAN TINTED ORIGINAL Full Set + Windscreen kwa mwonekano wa kifahari, faragha ya hali ya juu na ulinzi dhidi ya jua. 😎✨
πŸ“ Tunapatikana Sinza Mori
πŸš— Tunamfuata mteja popote alipo Tanzania.
πŸ“ž 0673 621 459
AMERICAN TINTED ORIGINAL – Ubora unaozungumza wenyewe.

16/07/2026

Muonekano bora wa biashara huanza na branding bora. ✨
Tumekamilisha kazi hii kwa ubora na umakini wa hali ya juu.
Tunabrand ofisi, magari, bajaji, pikipiki na biashara za aina zote.
πŸ“ž 0673 621 459
Popote ulipo Tanzania, tunakufikia.

14/07/2026

πŸš—βœ¨ AMERICAN TINTED ORIGINAL – Ubora unaoonekana, ulinzi unaoaminika!
Je, unataka gari lako lionekane la kisasa huku likipata faragha na kinga dhidi ya joto la mionzi ya jua? Sisi tunakuletea American Tinted Original yenye ubora wa hali ya juu.
βœ… Muonekano wa kifahari
βœ… Hupunguza joto ndani ya gari
βœ… Hulinda dhidi ya miale ya UV
βœ… Kazi safi na ya kitaalamu
πŸ“ Tunapatikana Sinza Mori.
🚘 Huna muda wa kufika? Hakuna shida! Tunakufuata popote ulipo ndani ya Dar es Salaam na hata Mikoani kwa huduma ya kufunga tinted.
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0673 621 459
American Tinted Original – Funga ubora, endesha kwa tofauti. 😎

06/07/2026

Tangaza BIASHARA YAKO kwa kutumia CHOMBO CHAKO CHA USAFIRI,

Tunatengeneza sticker za matangazo kwenye PIKI PIKI,BAJAJI,GARI N.K
Tupigie tukuhudumie popote ulipo 0673621459,

K**A UPO MKOANI GARI YAKO TUTAIFUATA BILA SHAKA YOYOTE

05/07/2026
04/07/2026

Sisi tupo kukuhudumia wewe mteja wetu,Kwa mahitaji yako yote ya
AMERICAN TINTED ORIGINAL
STICKER AINA ZOTE.

Tupigie tukuhudumie 0673621459,Popote tutakufikia.

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulfa My Tint posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share