Achi Auto Parts

Achi Auto Parts Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Achi Auto Parts, Automotive repair centre, Kinondoni Morocco, Dar es Salaam.

17/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Jinsi ninavyo-scan codes
✅ Jinsi ya kupata chanzo kikuu cha check engine light
✅ Jinsi ya kufanya maamuzi ya kufuatilia chanzo
✅ Jinsi ya kufanya maamuzi ya kutengeneza au ku-replace kifaa

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 681 824482
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

゚

16/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Jinsi ya kutofautisha fault inayotokana na mfumo wa hewa na fault inayotokana na mfumo wa mafuta
✅ Jinsi ya kutofautisha fault inayotokana na engine dhidi ya fault inayotokana na transmission

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 681 824482
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

゚viralシ

15/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Mahusiano ya check engine light na mifumo tofauti tofauti ya gari

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 767 200 222
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

14/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Vitu vidogo vinavyopuuzwa Ila huwa ni vyanzo vya check engine light
✅ Mchango wa battery katika kuwasha check engine light

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 767 200 222
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

13/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Namna ya ku-diagnose check engine light bila ku-panic
✅ Hatua rahisi za mwanzo kuchukua ili kugundua chanzo
✅ Tricks na shortcuts za diagnosis

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

12/07/2026

Check engine light imewaka kwenye dashboard yako? ⚠️ Usipanic. Usikimbilie kubadilisha parts bila kujua tatizo.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Check engine light ni nini na inamaanisha nini?
✅ Je ni serious Au minor issue?

Kwetu ACHI Auto Parts & Garage, tunaunganisha diagnostic machine na kukwambia ukweli kabla hatujagusa gari lako. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 767 200 222
📍 Kinondoni Morocco Dar es Salaam

05/07/2026

Unasikia sauti ya chuma inagonga chuma ukifunga breki? Au breki zako zinatoa sauti kali unapokanyaga? Au pedal inashuka chini kuliko kawaida? ⚠️

Hizi ni dalili za breki zako zinahitaji kuangaliwa. Na ukichelewa, utaharibu brake discs zako, gharama inaruka kutoka 80,000 hadi 300,000 au zaidi.

Kwenye hii video ninaelezea dalili za kukujulisha ni wakati wa kukagua mfumo wa breki zako.

Usisubiri hadi breki zikatae kabisa. Leta gari lako ACHI Auto Parts & Garage kwa inspection ya bure. Tunakagua mfumo mzima wa breki zote, tunakuambia ukweli, na tunakupa bei kabla hatujagusa kitu.

📞 0777332255
WhatsApp +255767200222
📍 Kinondoni Morocco

02/07/2026

Fundi wako amekwambia badilisha shock absorber zote nne? ⚠️ Kabla hujalipa 400,000 au 800,000: angalia hii video.

Sauti unayosikia inaweza kuwa bush tu. Bush ni 30,000. Shock absorber ni 200,000. Watu wengi wanalipia shock absorber wakati tatizo ni bush. Na sauti inarudi hata baada ya kubadilisha shock kwa sababu hawakugusa bush.

Leta gari lako ACHI Auto Parts & Garage kwa inspection ya bure. Tunainua, tunakagua, tunakuonyesha ukweli.

📞 0777332255
WhatsApp +255767200222
📍 Kinondoni Morocco

01/07/2026

Gari lako linavuta upande mmoja? Umeenda alignment mara kadhaa lakini bado? Au usukani haurudi sawa ukizunguka kona? ⚠️

Tatizo linaweza kuwa tie rod end. Ni part inayounganisha steering rack na matairi yako. Ikiwa imechoka, alignment haiwezi kukaa na utaharibu matairi mapya ndani ya wiki.

Kwenye video hii ninaelezea jinsi ya kujua k**a tie rod end zako zimechoka na nini cha kufanya.

Leta gari lako ACHI Auto Parts & Garage kwa inspection ya bure. Tunakagua steering na suspension nzima. Tunakuambia tatizo halisi kabla hujalipa chochote.

📞 0777332255
WhatsApp +255767200222
📍 Kinondoni Morocco

30/06/2026

Ni part ndogo lakini ikikatika, gurudumu linaweza kujitenga na gari likaanguka chini. Hii imeshatokea kwa watu. Usisubiri hadi iwe wewe.

Kwenye video hii ninaelezea ball joint ni nini, dalili zake, na kwa nini usichelewe kuibadilisha.

Leta gari lako ACHI Auto Parts & Garage. Tunainua, tunakagua, tunakuambia ukweli. Inspection ni bure.

📞 0777332255
WhatsApp +255 681 824482
📍 Kinondoni Morocco

Address

Kinondoni Morocco
Dar Es Salaam

Telephone

+255767200222

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Achi Auto Parts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Achi Auto Parts:

Shortcuts

Share