08/08/2026
🌾 Happy Nane Nane! 🇹🇿
Today we celebrate the hardworking farmers who feed our nation and drive our economy. Your dedication, resilience, and commitment are the foundation of a stronger Tanzania.
Together, let's embrace innovation, support local agriculture, and build a sustainable future for generations to come.
Happy Nane Nane to all farmers and agricultural stakeholders! 🌱💚
🌾 Heri ya Siku ya Nane Nane! 🇹🇿
Leo tunawaenzi wakulima wetu, mashujaa wanaolisha taifa na kuchangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Juhudi, uvumilivu na kujitolea kwenu ni msingi wa maendeleo na ustawi wa nchi yetu.
Tuendelee kuthamini kilimo, kuhamasisha matumizi ya teknolojia na ubunifu, pamoja na kuunga mkono mazao ya ndani ili kujenga Tanzania yenye uhakika wa chakula na maendeleo endelevu.
Heri ya Nane Nane kwa wakulima wote na wadau wa sekta ya kilimo! 🌱💚