Chunya Magari Sokoni

Chunya Magari Sokoni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chunya Magari Sokoni, Car dealership, Chunya.

FAHAMU KUHUSU BOMBA LA MOSHI LA GARI.(SHARE NA RAFIKI AJIFUNZE πŸ™) Hivi umeshawahi kujiuliza kuwa bomba la kutoa moshi li...
24/09/2024

FAHAMU KUHUSU BOMBA LA MOSHI LA GARI.

(SHARE NA RAFIKI AJIFUNZE πŸ™)

Hivi umeshawahi kujiuliza kuwa bomba la kutoa moshi linakazi gani nyingine ukiachilia mbali na kutoa moshi?
Umeshawahi kusikia sauti au muungurumo wa gari ambalo bomba lake limepasuka au kutokea leakage.

Huwa inakuwa inapiga kelele sana na kutoa muungurumo mkali unaokela.
Baada ya kuziba sehemu hiyo ilio pasuka umeshawahi kujiuliza ile sauti huwa inaenda wapi?

Fahamu sauti inapotokea:
Sauti hii huzalishwa na pistoni pamoja na valve ambazo zipo ndani ya injini ya gari lako. Hii sauti huwa ni kubwa mno na hutoka ikiwa na msumumo wa moto.
Hivyo wataalam wakaumizaa kichwa na kutafakari kuwa ni jinsi gani watadhibiti hili? Ndio wakaja na wazo la bomba la kutoa moshi (exhaust pipe).

Bomba hili sio bomba tu bali limeundwa Kwa material ambayo yanaweza kuhimili moto. Pia bomba hili limeundwa na vyumba maalumu kwaajili yaku hakikisha linacontrol sauti hii inayozalishwa na kuishusha mpaka kiwango cha mwisho ambacho hakiwezi kuumiza masikio au kukukera.

Ndio maana Leo hii mtu anaweza park gari dirishani kwako saa 8 usiku na usisikie k**a kuna gari imeegeshwaπŸ™‚πŸ™‚.

Je ni vitu gani vinafanya kazi hiyo? Maana wengi wameshazoea kuwa kwenye bomba la moshi kuna masega pekeyake.

Katika bomba la moshi kuna vitu vifuatavyo:
β€’ MUFFLER
β€’ PERFORETED PIPE
β€’ RESONANCE CHAMBER
β€’ RESONATOR

β€’ Muffler
Wakati sauti kubwa yenye pressure ya moto hutolewa na injini husukumwa mpaka katika chumba hiki cha muffler. Baada ya kifika hapo huwa inasambaazwa na ikishasambazwa huingizwa katika perforeted pipe.

β€’ Perforeted pipe
Hii kazi yake nikucontrol mawimbi ya sauti kwa kuyabadilisha katika njia ya hasi na chanya . Yaani wakati hewa inapita katika pipe hizi huwa inavuja( leak) ndani ya chamber ya mufla na kufanya mzunguko pamoja na sauti kupungua. Ikitoka hapo inaingia katika resonance chamber.

β€’ Resonance chamber
Kazi yake ni kufanya sauti ijizungushe zaidi wakati inatafuta pakutokea nakujikuta imesha punguzwa makali nakuwa na mtiririko wenye UTULIVU.

CHRISTIAN MAGARI COMPANY
In Jesus We Trust

CHRISTIAN MAGARI TUPO CHUNYATUNANUNUA NA KUUZA MAGARI CALL πŸ“ž 0746204810  PIA LETA GARI YAKO TUKUUZIE HARAKA MKUU Tunavun...
23/09/2024

CHRISTIAN MAGARI TUPO CHUNYATUNANUNUA NA KUUZA MAGARI CALL πŸ“ž 0746204810

PIA LETA GARI YAKO TUKUUZIE HARAKA MKUU

Tunavunja(Exchange) ,🚘 Pia Tunakutafutia Gari zuri NA Nzima Sana kwa Bei Nafuu

Klugger
Million 29.5
Simu 0746204810
Injini 2az
Cc 2360
β›½Fuel Petrol
Chunya Mjini Hapa

CHRISTIAN MAGARI CO.
In Jesus We Trust

Jina: Suzuki SwiftBei Million 4.5Simu 0746204810Ujazo Wa Injini Cc 1300Injini DOHCLoc πŸ“ ChunyaFuel β›½ PetrolNo AccidentNo...
22/09/2024

Jina: Suzuki Swift
Bei Million 4.5
Simu 0746204810
Ujazo Wa Injini Cc 1300
Injini DOHC
Loc πŸ“ Chunya
Fuel β›½ Petrol
No Accident
No Any Fault

Jina : Toyota RactisBei Million 9Simu 0746204810Injini 1nz-FeLoc πŸ“ ChunyaFuel β›½ PetrolNo AccidentNo Repainted
22/09/2024

Jina : Toyota Ractis
Bei Million 9
Simu 0746204810
Injini 1nz-Fe
Loc πŸ“ Chunya
Fuel β›½ Petrol
No Accident
No Repainted

Jina: Toyota HarrierMillion 12.5Injini Yake 2AzSimu 0746204810Hakuna MakosaHakuna AjariLoc πŸ“ Chunya
22/09/2024

Jina: Toyota Harrier
Million 12.5
Injini Yake 2Az
Simu 0746204810
Hakuna Makosa
Hakuna Ajari
Loc πŸ“ Chunya

Jina : Toyota RaumBei Million 10.5Ujazo Wa Injini Cc 1490Aina Ya Injini 1nz-FeSimu 0746204810Full DocumentNo AccidentLoc...
22/09/2024

Jina : Toyota Raum
Bei Million 10.5
Ujazo Wa Injini Cc 1490
Aina Ya Injini 1nz-Fe
Simu 0746204810
Full Document
No Accident
Loc πŸ“Chunya Mjini

Toyota KluggerMillion 29.5Injini 2azNo RepaintedNo AccidentFull DocumentChunya MjiniCall 0746204810
22/09/2024

Toyota Klugger
Million 29.5
Injini 2az
No Repainted
No Accident
Full Document
Chunya Mjini
Call 0746204810

IstMillion 12Cc 1290Chunya Mjini πŸ“Simu 0746204810 Injini 2nzNo Accident
22/09/2024

Ist
Million 12
Cc 1290
Chunya Mjini πŸ“
Simu 0746204810
Injini 2nz
No Accident

Unampa Maksi ngapi Huyu mdau,, share na likeNakuja kukupa somo la jinsi ya kuweka puti kisasa
22/09/2024

Unampa Maksi ngapi Huyu mdau,, share na like

Nakuja kukupa somo la jinsi ya kuweka puti kisasa

Address

Chunya

Opening Hours

07:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chunya Magari Sokoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category