Senior driver Moses butiya

Senior driver Moses butiya With god everything is possible

Katikati ya mambo mengi, panda shuka za maisha haya, tuna chaguo la kumshukuru Maulana, Mungu wetu mwenye Enzi yote Kwa ...
21/02/2026

Katikati ya mambo mengi, panda shuka za maisha haya, tuna chaguo la kumshukuru Maulana, Mungu wetu mwenye Enzi yote Kwa rehema zake kila siku♥️

's ambassadors

Unaamua kuoa mwanamke mwenye Ako na ring kwa mapua na kitovû na mnajuanga it's only ng'0mbe borana  Huwa anaekewa ring k...
03/11/2025

Unaamua kuoa mwanamke mwenye Ako na ring kwa mapua na kitovû na mnajuanga it's only ng'0mbe borana Huwa anaekewa ring kwa puâ na pia inakuanga na maziwa so watu wanaipendâ 😂😂
Unasaidiwa kukamuä adi ukitoka kazi jionî ukijaribu kukamuä akuna mazîwa😂😂😂

Avoid those people

29/06/2025

Fanya hivyo nikupee 1000 sai

31/05/2025
Mwanangu 🤠 Mapenzi ni hiari ya mtu! Don't force.Akikupenda ni sawa, akikuacha ni sawa!Uwe makini sana unapofanya maamuzi...
14/05/2025

Mwanangu 🤠

Mapenzi ni hiari ya mtu! Don't force.

Akikupenda ni sawa, akikuacha ni sawa!

Uwe makini sana unapofanya maamuzi Katika safari ya mapenzi mwanangu 😋.

La sivyo utajiponza; utajipata gerezani, utajipata na ugonjwa, uenda ukajitia kitanzi au kufanya mauaji.

Mwanangu 🤠!
Women are unpredictable ✍️ leo anakupenda vizuri 🤗, kesho Asubuhi akiamka amepata mwengine 😅. That's their nature .
Imeandikwa, mwanamke ni kiumbe dhaifu.

Mwanangu 🤠, uwe na hekima Kila wakati, Fanya maamuzi sahihi na enye busara, usikubali kushawishika kwa ajili ya mapenzi. Wanaume wengi wamejipata kwenye njia panda kwa sababu ya maamuzi yao ya kujinga.

Mwanangu 🤠,
Mwanamke mzuri utoka kwa Bwana, sio Kila mwanamke mrembo ametoka kwa Bwana Mungu, la ! Kuwa makini sana Katika safari Yako ya kujenga ndoa.
Mwanangu 🤠, ndoa ni pingu za maisha, elewa neno "PINGU".

Tafuta mke mwenye akili, mke anaenua kuosha sufuria au mwiko baada ya kupika.

Mwanangu!, mkeo sio kijakazi bali ni mkeo✍️, mtunze na umpende iwapo mwenyezi Mungu atakujalia mke mzuri.

Mwanangu 🤠
Nakuombea Dua kwa Maulana akuongoze na akupe mke mzuri, pia uzao wako uwe enye baraka na ubarikiwe na watoto wenye afya njema mwanangu 🤠.
Uwe na Siku Njema yenye mafanikio, kibali mbele ya mwenyezi Mungu. Amina 🙏

Address

Senior
Ruai

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Senior driver Moses butiya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category