Soccer Kyiv Cars

Soccer Kyiv Cars YOUR TRUTHFUL CAR GUY. Reviews | Inspections | Smart deals
I help you choose the right car

Nimeona kuna kijana mdogo amepost hii nyumba. It's his kule Ocha. Lakini pale watu wa "Ni AI na all is vanity" wame have...
04/10/2026

Nimeona kuna kijana mdogo amepost hii nyumba. It's his kule Ocha. Lakini pale watu wa "Ni AI na all is vanity" wame have a field day.

Na usicheze na hoe hae, wanakuanga na sayings kibao sana ya vile wamejengewa kule mji mwema.

Now I have good news and bad news.

Good news: Hope keeps you moving but pua.
Bad News: Hiyo nyumba uliambiwa iko mji mwema hakuna. Tia bidii hapa kwa duniya of mateso.

Vijana tukipata pesa tutumie vizuri, k**a we ni mtu ya plots, nunua na ujenge. K**a we ni wa gari, nunua pia. Mtu asikupangie pesa yako.

Let us send ourselves ndio ile wivu isitupate jameni.

Unaona hiyo gunner imeshikwa na huyo jamaa? Huwa inazunguka ikiachilia maharagwe.Ukipatana na Wilkister pale Lwakhakha a...
04/10/2026

Unaona hiyo gunner imeshikwa na huyo jamaa? Huwa inazunguka ikiachilia maharagwe.

Ukipatana na Wilkister pale Lwakhakha atakwambia ni "Kisiagi iliyo na roho ya kisuje"

Hapa nayo huwes okota injury, ni ticket za sayun, one after the other. The best thing ni kuingia kwa shimo ukiskia sauti.

Hapana chesa

We have lots of Forex traders in Kenya. Wengi tena sana. However, wenye wanamake consistent income wanahesabika.Wachana ...
04/10/2026

We have lots of Forex traders in Kenya. Wengi tena sana. However, wenye wanamake consistent income wanahesabika.

Wachana na kelele ya wale wa online, there are legends making money silently.

For starters, usifanye hii kitu ukiwa na njaa. K**a unasurvive without an income usijaribu, utapoteza mingi ju sasa itakua betting.

Kwa wale employed, jaribu tu ya kukupea fare daily $3 - 5. Usiweke tamaa ya wakenya ndani, with time utaweza ata make $100 in a week. Utaenda tu ukipanda.

Hii ya kuingia leo na kununua gari kesho wachia infuencers.

Na hii ni a very denjaras and volatile path, approach with maximum caution or don't approach at all.

All the best Omwami.

Hii gari ile P.E na ukora ikonayo wacha tu. Ukiingizwa shauri yako. Hii taoni barabara ni mingi, ukijipata chuom ya wako...
04/10/2026

Hii gari ile P.E na ukora ikonayo wacha tu. Ukiingizwa shauri yako. Hii taoni barabara ni mingi, ukijipata chuom ya wakora utakipata

Now, this is a good swimming pool, hapa ni ngumu uteleze uende kwa Baba. It's veey different na ile iko pale Kuala Lumpu...
03/10/2026

Now, this is a good swimming pool, hapa ni ngumu uteleze uende kwa Baba. It's veey different na ile iko pale Kuala Lumpur. Hiyo makosa kidogo unateremka na zile glass haraka upesi.

Jamaa anakaa hivi alafu unataka kucopy yeye na savings za 10 mirrions? Ati unaenda offgrid? Utateseka mbaya saidi.Hapa b...
03/10/2026

Jamaa anakaa hivi alafu unataka kucopy yeye na savings za 10 mirrions? Ati unaenda offgrid? Utateseka mbaya saidi.

Hapa bila monthly income ya $200k huwes toboa. Unajua kila kitu unafanyiwa from kukandwa, kupikiwa, kufuliwa, na ata kuangaliwa ukiwa na ng'ombe wako.

Kazi yako kubwa hapa ni kulala, kuota jua na kukula. K**a huna cash flow maridadi hapa don't approach.

Yellow line ya kuke satafrika nik**a ndio flag yao. Hapa kwetu jaribu hii upus uone atpu ikikukujia kwako.
03/10/2026

Yellow line ya kuke satafrika nik**a ndio flag yao. Hapa kwetu jaribu hii upus uone atpu ikikukujia kwako.

This is perfect kwa wale jamaa wanafanya camping on a budget. Unajinyorosha hapo k**a Anaconda imemeza ng'ombe buana.And...
03/10/2026

This is perfect kwa wale jamaa wanafanya camping on a budget. Unajinyorosha hapo k**a Anaconda imemeza ng'ombe buana.

And this feature is available in very few cars.

Hapa makosa kidogo back benchers wataregret kwanini walidrop physics pale form 1.Utaskia pungulu pangala na nduru mingi,...
03/10/2026

Hapa makosa kidogo back benchers wataregret kwanini walidrop physics pale form 1.

Utaskia pungulu pangala na nduru mingi, bila mtu wa kukuangalilia nyuma ni luwere

Hawa jamaa kumbe pia kule wako? Watu ya lori wakiona hawa uskia kuhara ju wanajua wamebeba excess. Hii ujanja mingi inah...
03/10/2026

Hawa jamaa kumbe pia kule wako? Watu ya lori wakiona hawa uskia kuhara ju wanajua wamebeba excess. Hii ujanja mingi inaharibu tu barabara zetu.

The best thing is to carry within the limits. K**a ni 10 tonne lorry, beba 9.5 tonnes. Pale weigh bridge utaambiwa upangue mzigo upange tena, hapo utaona siku mrefu.

Address

Kiambu Road
Nairobi
00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soccer Kyiv Cars posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category